Recent content by chi-mamy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kufunga nae ndoa

    Asante sana
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kufunga nae ndoa

    Natafuta mpenzi awe serious na mimi anipende jinsi nilivyo aniheshimu nami nitampenda na kumueshimu siku zote. Na mwisho tufunge ndoa takatifu. Sifa za mpenzi wangu: Umri :30-35 Awe na mapenzi ya dhati kwangu na kwa ndugu zangu. Dini: mkristo Kuhusu muonekano sijali point kubwa awe namapenzi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Till ya M-pesa

    Naitaji Till ya mpesa yenye document zake .ni pm tufanye biashara
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Nipm kaka anatafuta mke
  5. C

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Kichomi kinanisumbua upande wakushoto kwenye ziwa natumia antibiotics kinapoa badae kinarudi ,
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Huyu mwanamke nimemtolea mahari nataka kumwacha

    Pole sana
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa kaka yangu, alimpa pesa binti waliyekutana mtandaoni sasa mawasiliano yamekufa

    Tuache lawama sasa tufanyeje njia zakumpata!? Wakuu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa kaka yangu, alimpa pesa binti waliyekutana mtandaoni sasa mawasiliano yamekufa

    Anasema anapicha zake nawalikuwa wana video cll
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa kaka yangu, alimpa pesa binti waliyekutana mtandaoni sasa mawasiliano yamekufa

    Wakuu poleni na majukumu ya juma zima, kaka anahitaji ushauri nami ndipo nilioona nishirikiane na wanajamvi. Huyu ni ndugu yangu anasema alikutana na binti kwenye mtandao mmoja maarufu baada ya kuchat na kutumiana picha akampenda huyo binti kwakuwa anadai hakuwa na kitu chochote chakumuingizia...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya wafanyakazi.

    Wafanyakazi wasaloni usafi maofisin usafi majumban..utunzaji bustani wanapatikana.ni pm
Back
Top Bottom