Recent content by chevava

  1. C

    KERO Dampo lisilo rasmi maeneo ya Kilimahewa Juu, Kata ya Wazo ni kero kubwa kwa Wakazi wa maeneo haya

    Sisi wakazi wa Kilimahewa Juu, Kata ya Wazo (maarufu kama Kwa Magereza), tunapitia wakati mgumu kutokana na uwepo wa dampo lisilo rasmi katikati ya makazi yetu. Dampo hilo husababisha harufu kali ya taka, hali inayotuletea kero kubwa na kuhatarisha afya za wakazi pamoja na familia zetu. Tatizo...
Back
Top Bottom