Recent content by Cheusi Dawa

  1. C

    Pepsi na magari yao

    Nashukuru SMU kwa ufafanuzi wako. Nimeelewa tofauti zilizopo kwenye ma-company. Nia yangu ilikuwa hiyo tu na nadhani nimepata point ya kuweza kuwashawishi waajiri wangu walegeze hizi taratibu. ubarikiwe
  2. C

    Pepsi na magari yao

    Nitangulie kusema ni umbea tuuuuuuuuuu Ila napenda kujua if baadhi ya company yanaruhusu magari zao kuendeshwa na watu wasiohusika moja kwa moja na ma -company hayo. Kuna mdada m1 mfanyakazi wa PEPSI, hapo Ilala Bungoni karibu na GAlapo - club Masai (DSM), anadrive gari la PEPSI aina ya Nissan...
Back
Top Bottom