Recent content by chemichemi

  1. chemichemi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo GEITA MJI nije KOROGWE,TANGA JIJI,MUHEZA,MKINGA,idara sec
  2. chemichemi

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    mwl.Geita mji kutakufaa alafu wewe ni idara gani?
  3. chemichemi

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali za Mitaa Juni 2014

    mkuu na wale wenye matatizo ya kiafya hata kama umeajiriwa mwaka huu nilazima ufikishe vigozo vya kukaa 3miaka!?
  4. chemichemi

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    NJOO GEITA MJI NIJE TANGA JIJI AU WILAYA MKINGA TANGA idara sec
  5. chemichemi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo GEITA mji nije TANGA jiji au wilaya ya MKINGA,KOROGWE na MUHEZA Idara sekondari.
  6. chemichemi

    Nani anataarifa ya uhamisho wa walimu kwa mwezi june 2014

    Mkuu,gforum ili niweze kuhama nivigezo gani vinahitajika naomba kujua?
  7. chemichemi

    Awamu ya tatu ajira za walimu zimetoka leo tar 1 mwezi 7 nashukuru nimepangiwa kituo sasa.

    Mkuu sulle23,nashukuru MUNGU nami wamenipa ajira,kundi la awamu ya pili.
  8. chemichemi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa anayetaka kubadilishana njoo GEITA MJI mimi nije kati ya TANGA JIJI,MOROGORO MJI,HAI MJI na MKINGA,(idara sekondari).
  9. chemichemi

    Jamani mwenzenu nimesota mtaani hadi basi!!!

    2,219 kuajiriwa tena kuziba nafasi ya wale ambao hawaku ripoti-chanzo gazeti HABARI LEO hata mimi nipo katika hali yakusubiria
  10. chemichemi

    Kwa wale tunaosubiri ajira awamu ya pili

    Ni kweli mkuu,hata mimi nimeliona ni gazeti la HABARI LEO.
Back
Top Bottom