Recent content by Cheko M

  1. C

    JamiiForums Sina wa kumlaumu (Mashairi tuliyoyapenda)

    Baba na mama salamu, nyumbani nawatumia, Siwezi kupiga simu, nipo mbali na dunia, Bila shaka mwafahamu, jela ninatumikia, Sina wa kumlaumu, niliyataka mwenyewe. Vipi hapa nimefika, bila shaka mnajua, Nitakaa kwa miaka, gereza likinilea, Tayari nimeshachoka, tabu zinanisumbua, Sina wa kumlaumu...
Back
Top Bottom