Recent content by Chekibudi

  1. Chekibudi

    Ushawahi kutapeli? Nilimtapeli mtu kutoka UK alivyofika Bongo hakuamini alichokutana nacho

    Labda umenielewa vibaya, sichukulii hlo jambo kama ni sifa. Labda uwasilishaji wa story tu ndio unaweza kuonea upande huo
  2. Chekibudi

    Ushawahi kutapeli? Nilimtapeli mtu kutoka UK alivyofika Bongo hakuamini alichokutana nacho

    Kumbe kuwa na jinsia ya kike tayari inakupa kibali na kukurahisishia kuiba pesa za watu????
  3. Chekibudi

    Ushawahi kutapeli? Nilimtapeli mtu kutoka UK alivyofika Bongo hakuamini alichokutana nacho

    Mm ndio nilitaka kumsumbua ili animalizie kiasi changu kilichobaki
  4. Chekibudi

    Ushawahi kutapeli? Nilimtapeli mtu kutoka UK alivyofika Bongo hakuamini alichokutana nacho

    Hata kama UNAJIFANYA huna uwezo wa kuweka wazi kwakuwa unaendelea na huo mchezo
  5. Chekibudi

    Ushawahi kutapeli? Nilimtapeli mtu kutoka UK alivyofika Bongo hakuamini alichokutana nacho

    Katika maisha tunakutana na changamoto nyingi, japokuwa baadhi ni za kusababishwa na wanadamu iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya Huu uzi nataka uwe wa tofauti kidogo, siku zote watu huwa wanaeleza mambo yao mema tu waliyoyafanya kwa watu au kufanyiwa ebu leo tuonyeshe upande wa pili wa...
Back
Top Bottom