Habari Honda xl,
Nashukuru kwamba unauelewa wa jinsi tovuti yetu inafanya kazi. Tuwauzaji mbali mbali wa hapa nnchini na Japan, kama muuzaji anakuambia hana magari hapa bali yapo Japani, basi hakikisha unafwata utaratibu wa kununua magari ya Japani, kwenye kufanya malipo ni vizuri ukatumia njia...
Habari,
aliyeposti hayo magari hapo ju sio cheki.co.tz, wala hana uhusiano wowote na kampuni ya Cheki Tanzania LTD ambayo ndio wamiliki halali wa tovuti ya cheki.co.tz. Cheki hatuuzi magari kupitia mindao ya kijamii, bali kwa kupitia tovuti yetu tu. Mgari yanayouzwa cheki.co.tz yanakuwa yamepata...
.Cheki.co.tz ni tovuti inayowaunganisha wauzaji na wanunuzi wa magari nchini Tanzania. Cheki ipo katika nchi zaidi ya kumi barani Africa na katika mwaka mmoja iliyofanya kazi nchini Tanzania imepata uitikio mzuri kwa wauzaji na wanunuzi wa magari. Cheki inafanya kazi wauzaji wa magari katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.