Recent content by Chebe23kid

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jumatatu ijayo hapo,kuna wanangu yupo lazima nikawashuhudie
  2. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Watu wanapenda kuwa na matarajio makubwa sana,ndio maana vilio vinakuwa vingi,mbanga sio wa kuwaamini sana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Sahihi kabisa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Si tumeshakubaliana kozi hadi ramadhani iishe,hahahaha
  5. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Mbona ni hapo tu,kuanzia tar 11 mwezi ujao
  6. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Haina shida mkuu,wao ndio wapangaji
  7. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Lonja za uhamiaji ngumu sana kuzipata zilizonyooka,ndio maana humu ndani papo kimya sana,wengi waliokuwa wanaleta lonja zilizonyooka saivi wapo depo wanakula kozi hasa CCP
  8. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Relax,wataachia pdf katika wakati sahihi kwao
  9. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Saa sita hii inapita bila pdf kuachiwa,sio kila lonja ni za kuchukua
  10. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Hapo kuna mazoezi matatu,kuitwa depo,kudumu depo na kuapa,ila daaah jamaa kafikia kwenye mshahara
  11. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Daaah,muulize mbanga wako aliyekuhakikishia,maana unaonekana unaonekana unajiamini sana hadi kuulizia mshahara
  12. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Hatari sana iyo,ngoja mkeka utoke
  13. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Yeah na mbanga apambane kweli kweli
  14. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Nafikiri ndio ratio yao kila mwaka,japo upande wa zanzibar kwa mwaka jana walichukua 150 hivi
  15. C

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Inawezekana,ngoja tusubiri tuone
Back
Top Bottom