Recent content by Che Robert

  1. C

    JamiiForums Wazo la Biashara Vs Mtaji

    Asante sana ndugu. Wauzaji wakubwa wao huuza jumla kwa utafiti wangu ni kuwa wauzaji weengi hununua toka kiwandani kwa kuletewa na gari na sio toka kwa wauzaji wenzao wa jumla. Ukinunua toka kwa wenzako bei itakua kubwa sana.Nimepata jamaa anayesdambaza maeneo ya Tegeta wa Azam akanishauri kuwa...
  2. C

    JamiiForums Wazo la Biashara Vs Mtaji

    Habari wandugu, Naomba mawazo yenu. Najaribu kuumiza kichwa jinsi ya kupata mtaji. Hivi sasa nimefanya utafiti na kujiridhisha kuhusu biashara ya Jumla ya Vinywaji Baridi. Frame ninayo tatizo mahali pa kupata mtaji wa km 8m mpaka 10m ili niwe na bidhaa za kila ujazo na za makampuni mbalimbali...
Back
Top Bottom