Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa ajili ya kugawiwa majiko ya gesi pamoja na fedha Tsh.50,000/= ambayo aliitoa kwa mafungu mawili ya...
Hii taarifa ina makosa mengi...
Hai ina kata 17
Siha kata 17
ROmbo kata 28
Same kata 34
Moshi dc inakata 32
Moshi mc kata 21
Mwanga ina kata 24
Pia mkoa una halmashauri 7 na majimbo 9 ya uchaguzi.
MAPYA YAIBUKA MOSHI, NI BAADA YA MBUNGE KUSHITAKI BENDI YA POLISI
Katika hali isiyo ya kawaida, Priscuss Tarimo ambaye ni Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini amewashtaki watumbuizaji wa bendi ya Chuo cha Polisi Moshi (CCP) ambayo ilikuwa inatumbuiza kwenye sherehe ya Kumuaga binti wa Tajiri wa Moshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.