Ndugu zangu
Naoma tunatumia muda mwingi sana kuzungumzia "kufeli" kwa wanafunzi bila kuangalia huyo "aliyefeli" anachangiaje kuinua uchumi wetu na "aliyefaulu" anauvurugaje.
Hebu tafakari kidogo. Mvumbuzi wa computer Bill Gates "alifeli" na kupata disco chuo kikuu. Professor wake...
Mimi sijivunii kuona wamafunzi waliofeli wakifaulishwa kwa sababu za kisiasa. Hebu fuatilia mnyororo huu wa namna tunavyoandaa Taifa lisilowajibika kwa kuchukua mfano wa hawa vijana
2002: Walianza darasa la kwanza. Ada ya shule ya msingi ilifutwa: Bahati iliyoje
2005: Wako darasa la nne...
Haya matokeo mimi siyashangai. Badala yake namshukuru sana Ndalichako maana uzalendo wake umemsukuma kuandika ukweli wa mambo yalivyo. Miaka ya nyuma alikuwa akiongeza mkasi na kufanya wanafunzi waonekane wamefaulu na ndio maana iliwezekana: -
1) hata wengine kuingia form one bila kujua kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.