Recent content by charokiwa12

  1. charokiwa12

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini katika mfumo wa uombaji wa mkopo (HELSB)?

    Habari wana JF, Nakutana na changamoto ya kushindwa kuingia katika akaunti yangu ili niweze kuendelea na maombi ya mkopo, Yapata siku ya tatu leo tangu nilipo generate Control number, kulipia, na kuingiza taarifa za awali. Lakini kila ninapo jaribu kuingia inaoshe ujumbe "INVALID CATEGORY...
  2. charokiwa12

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

    Msaada tafadhali. Ninashindwa kuendelea na maombi ya mkopo, nimeshalipia control number nimeingiza taarifa za awali na kuunda neno la siri lakini kila ninapo jaribu kuingia kwenye akaunti yangu inanionyesha ujumbe "INVALID CATEGORY PLEASE CONTACT US FOR FUTHER SUPPORT: Naomba mnisaidie sijui...
Back
Top Bottom