jamani naombeni msaada wenu, nimekuwa nikilala kupita kiasi mpaka nahisi ni ugonjwa. kwa mfano jumapili nililala toka saa nne asubuhi nikawa naamka kula kisha narudi kulala siku nzima mpaka nikaja kuamka jumatatu saa kumi na mbili asubuhi. kwenye lecture nasinzia, kwenye daladala nasinzia...
kuna kipindi nilishawahi kusikia kuwa ukimpata mtu anayefanya kazi kwenye mitandao ya simu aliyepo kwenye kitengo ku-operate sim unaweza ukapewa sms zote ambazo mtu anawasiliana na mtu mwingine yan unachotakiwa kufanya ni kumpa huyo namba ya simu ya mtu wa kwanza (mke wako) na ya namba ya sim ya...
iPhone 4s mpya kabisa ipo kwenye box lake haijawahi kutumika ninaiuza laki tisa, ni original. Nimetumiwa kutoka UK. Kama upo tayari ni pm number yako ya simu kisha nakupigia mara moja au tumia kp21p@hotmail.com
iPhone 4s original inauzwa, mpya kabisa ipo kwny box lake. Bei ni laki tisa haipungui kwakuwa ni sim ya uhakika. Kama upo tayari ni-pm number yako kisha nakupigia mara moja. Napatikana chuo kikuu cha dar es salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.