Recent content by Charlton

  1. Charlton

    JamiiForums Tanzania Mh.Kapuya amsifu Mh.Membe!

    Asante prof kapuya kwa kuona ukweli.
  2. Charlton

    JamiiForums Tanzania Mh.Kapuya amsifu Mh.Membe!

    Mbunge wa Urambo Magharibi Mh.Kapuya amsifu Mbunge wa Mtama Mh.Membe kwa kupingana na matumizi ya pesa katika kutafuta uongozi.Mh.Kapuya aliyasema maneno hayo baada ya kauli ya Mh.Membe aliyoitoa jana alipotoka kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Ccm.Alisema,namnukuu,"Mh.Membe kaongea...
  3. Charlton

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya hawa kunyakua tunzo ya Mbunge Bora wa awamu ya nne!?

    Kweli lusinde anafaa
  4. Charlton

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya hawa kunyakua tunzo ya Mbunge Bora wa awamu ya nne!?

    Kwa upande wangu sion mtu anaye faa hapo
  5. Charlton

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya hawa kunyakua tunzo ya Mbunge Bora wa awamu ya nne!?

    Asasi isiyo ya kiserikali iitwayo Tanzania Network For Good Governance And Human Rights yenye makao yake makuu jijini Dar es salaam imeratibu tunzo ya kumpatia Mbunge Bora wa Bunge la awamu ya nne.Tunzo hii imeandaliwa na asasi hii ambayo imeshirikiana na asasi nyingine zisizo za kiserikali...
  6. Charlton

    JamiiForums Tanzania Siri za kambi EL zafichuka

    Wamwandalia akutane na Mwenyeviti Chama nchi nzima kuanzia na Mbeya!
Back
Top Bottom