Recent content by Charlisious

  1. C

    PreGE2025 Mbunge wa viti Maalum Kagera Oliver Semuguruka kufanya ziara wilaya zote za Kagera

    Fuatilia michango yake bungeni na maswali yake yote. Huyo sio Mbunge wa kukaa tu kimya Bungeni. Waulize watu wa Kagera watakuambia.Lakini pia unaweza tu kufatilia kupitia Mitandao ya kijamii mchango wake Bungeni
  2. C

    PreGE2025 Mbunge wa viti Maalum Kagera Oliver Semuguruka kufanya ziara wilaya zote za Kagera

    KAGERA MPOOO!! Baada ya Shughuli za Bunge kuahirishwa,sasa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Kagera Mhe. Oliver D. Semuguruka (Twiga), anakuja kufanya Ziara katika Wilaya zote za Mkoa Kagera. “ Kiongozi bora ni yule aliye karibu na anaowaongoza.” Ni Imani yangu kuwa kila mmoja ni shuhuda wa namna...
  3. C

    PreGE2025 Mbunge wa viti Maalum Kagera Oliver Semuguruka kufanya ziara wilaya zote za Kagera

    KAGERA MPOOO!! Baada ya Shughuli za Bunge kuahirishwa,sasa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Kagera Mhe. Oliver D. Semuguruka (Twiga) anakuja kufanya Ziara katika Wilaya zote za Mkoa Kagera. “ Kiongozi bora ni yule aliye karibu na anaowaongoza.” Ni Imani yangu kuwa kila mmoja ni shuhuda wa namna...
Back
Top Bottom