Wanachama wa CUF Zanzibar walizomewa na kutukanwa hadharani tangu 1995 hakutokea mkuu yoyote wa jeshi la polisi alokemea hilo. Hii yaonesha dhahiri jeshi hili la polisi linatumikia CCM. Kwa hali hii nchi mtaipeleka pabaya ikiwa kuna kundi fulani lina haki na jengine halina. Angalieni kwa makini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.