Tbc mje mfunge masafa ya radio wilaya ya malinyi mkoani morogoro tuna zaidi ya miaka 20 hatujasikia radio Tanzania TBC toka utawala wa mkapa mfunge masafa ya Fm
Sent using Jamii Forums mobile app
Vodacom mje mtufungie mmara was mawasiliano hapo itete wilaya ya malinyi mtimbira na sofi tunaomba msada wenu kero kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shilika la tanesco liwe Kama makampuniengine yamatafuta wateja wawaletee watu fomu wajaze tayari kwa kuunganishia umeme liwe Kama makamuni ya simu maana watu wengi wanataka umeme wanashindwa kutokana na mzunguko wake mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.