Asante sana Kwa taarifa na uchambuzi wako.
Naomba ufafanuzi wa yafuatayo:
1. Hakuna gharama nafuu za malazi chini ya ulizoandika/ulizoeleza?
2. Gharama jumla inakuwa kubwa sana? Gharama nyingine ni zipi?
3. Hizi gharama za jumla ni kwa kulala siku ngapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.