Kwahiyo majeshi yote ya ulinzi na usalama kasoro JESHI LA ULINZI [JWTZ] yanapaswa kuongozwa na WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] kwa kuzingatia vigezo na masharti katika kila jeshi.
Hata mabadiliko katika sekta ya elimu yanapaswa kuzingatia mitihani ya moko, kwa sababu...
Haya masuala ya elimu na kijeshi, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wanayafahamu vizuri sana. Pia huwa kuna tofauti ndogo kati ya CGP - MAGEREZA na CGC - UHIFADHI.
CGP - MAGEREZA anatakiwa askari ambaye ni jenerali na aliyewahi kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI...
Sasa hivi vijana wanajitahidi, tofauti na miaka ya zamani! Hata huyu yumo na wanamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Ikitokea kijana mwingine ambaye hata msingi wa maendeleo hakuwa nao, halafu kumiliki kampuni ya usafirishaji inakuwa ni hatua kubwa za...
https://youtu.be/o_MdzSjxM9A?si=mXkNzovRKw8mLQpE
Ndiyo! Kisiwa cha MAYOTTE kipo na WATANZANIA ndiyo wanaoishi kule. Pia kuna visiwa kama KIRIBATI, KRIMASI na NIUE ambavyo vipo sokoni na vinauzwa akipatikana mteja.
Wenzenu wale wangelitumia nafasi zao vizuri katika kujijenga kiuchumi...
Tunaambiwa hata ile shule ya MAUA SEMINARI walitapeliwa na KANISA KUBWA! Lakini hayo sisi hayatuhusu, hata KANISA KUBWA hutakiwi kuweka vitu kule na wao huwa wana tabia ya kutorudisha.. 😂🏃🏽♂️
Hayo yalikuwa ni maisha yao na wengine hayatuhusu! Lakini sasa hivi, wao wataanza kuona wale watoto waliozaliwa miaka ya tisini [1990's] wanaanza kumiliki kampuni binafsi za usafirishaji wa abiria na mizigo.
Haya yote, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wanayafahamu! Lakini wao hutia maji kujiona wanapendwa sana kuliko WATANZANIA wengine, kwa sababu ni jamii inayotoa BABA WA TAIFA!
https://youtu.be/btMUecYNBc4?si=-4QWCE5lDefH99Rg
Tizama kilichotokea miaka sita [6] iliyopita...
Kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA ELIMU DUNIANI [UNESCO], hata BARAZA LA MAWAZIRI linapaswa kujumuisha mawaziri waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO, iwe ni MOKO KATA au MOKO WILAYA au MOKO MKOA au hata MOKO KANDA. Hali hii...
Unajua hiyo ndiyo kazi ya ustawi wa jamii kupitia JESHI LA POLISI kitengo cha POLISI JAMII na dawati la jinsia na watoto. Hao wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] walikuwa vizuri sana, kabla ya kujifananisha na WAKONGO.
https://youtu.be/exx-0e3o_QQ?si=XJ9LA6TfDZY6fRAx
Wao...
Hayo mambo ya kizamani wengine walisha yaacha! Sasa hivi wanapambana kutambulika serikalini, halafu mambo mengine yanafuata kama kujenga familia na hatimaye kuwa na koo imara.
Kwa upande wa jinsia ya kike, hii sheria imewapa kipaumbele kwa kuzaliana tu na raia anayetambulika serikalini ili na...
Hizo ndiyo sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na wamejitahidi kuboresha kwa kutoa orodha ya wanafunzi tano [5] bora kwa kila jinsia ili kupata usawa na wote wanaenda hadi cheo cha SP.
Lakini ile kibongo bongo waliacha kuzifuata hizo sheria na kuamua kutunga sheria zao kwa...
Hata wale watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka kumi na nane [18] wanaofanya biashara ndogo ndogo za kutembeza [pet trading], asimilia kubwa huwa ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI na sasa hivi wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ndiyo wameiga hiyo tabia...
https://youtu.be/uiy8hA081j4?si=FnfMf4yUVd-5_WCe
Unajua jamii ya kitanzania ni kubwa na inamiliki uchumi mkubwa kiasi ambacho kufanya "OCCUPATION AND ACQUISITION POLITICS" kwa mataifa machanga ni kazi nyepesi. Hata kampuni ya kutengeneza karamu aina ya BIC inamilikiwa na TANZANIA...
Yaani sasa hivi kwa taarifa za uhakika, ukiwa nchini KAMERUNI tayari walishaanza kufanya "NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE" kwa kuhesabu majengo kwa nia ya kufanya "OCCUPATION AND ACQUISITION".
https://youtu.be/B4D3sSGWZ4o?si=3JmJIgI6PgFx4d8y
Kwahiyo hata ukiwa nchini KAMERUNI, kuna kila dalili...
Hao wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI walikuwa wanakosea sana, kwani sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] zipo wazi na wao wanazifahamu vizuri sana.
https://youtu.be/KAOCqidRObg?si=2mi1wyDJuSeQXtxc
Sema wao walikuwa wanafanya vile wakiamini kuwa WATANZANIA wataendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.