Recent content by charles cpe

  1. charles cpe

    JamiiForums Tanzania SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Wazoo lako ni zuri kijana, lakini sayansi yake kama hujaichanganya basi ina shida ambazo bado hujazielezea. Kwanza: Mfumo wa kuchoma na pyrolysis ni kitu kimoja. Kulingana na maelezo yako, umesema mashine inachoma bila kutumia hewa (ambayo ni pyrolysis - kuchoma dutu bila kuwepo kwa oksijeni)...
  2. charles cpe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilivyobuni kifaa cha kutatua changamoto ya malipo ya bili za Umeme kwa wapangaji

    umetisha kijana, kumbe tunaweza tatua matatizo yetu kupitia vijana wetu wenyewe katika jamii zetu.👍
  3. charles cpe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sensa, na Mitazamo ya Jamii Ajira fupi za Sensa

    makala nzuri sana hii, kwa kutizama hiyo chati ni ukweli usiopingika yakuwa asilimia kubwa hawana ajira. Serikali itumie takwimu hizi kupima kipato cha raia wake na itafute mbinu za kuwainua. 👍
Back
Top Bottom