Recent content by Charity Zuberi

  1. C

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Me naona tuwe wapole hadi nmb watoe utaratibu Wao maana unaweza upanic kwa kitu ambacho hukijui mm naweza nikaandika my uncle kaniambia marks 70 kumbe hiko kitu hakipo nimejitungia kupanikisha wengine kimsingi ni kuomba Mungu na kusubiri utaratibu kuna watu wapo kwaajili ya kuvunja moyo wengine...
  2. C

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    O [QlakOTE="middle east, post: 34978309, member: 406968"] Naona lake zone wametumiwa leo Sent from my iPhone using JamiiForums Ooh lake zone ilikua bado Een
  3. C

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Loh Kumbe mm nilkua sijui kama lake zone tayari haya ngoja tusubiri jnne
  4. C

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Samahani naomba kuuliza kanda ya ziwa washatumiwa email au bado?
Back
Top Bottom