Huu mni upuuzi tuuu. Devota Minja sio wa kupambania nafasi ya Ubunge VS Abood. Wakati mwingine watu watafakari sio kukurupuka. Shame on her!!! Naanza kuamini juu ya kupata kitu kidogoooo!!! Ubaki salama dada!!!
Jmc06
Kwanza kabisa, kama wewe ni great thinker, unatakiwa usikurupuke kuandika kabla ya kujiridhisha na andiko husika. Kumbuka kuwa TL ni Makamu Mwenyekiti wa CDM. Hivyo atabaki kuwa kiongozi kwa nafasi hiyo hata akikosa Urais. Nadhani ni busara kuangalia maendeleo ya Teknolojia yalivyo na...
Kuna Mambo kadhaa ya kuangalia na kujiuliza juu ya andiko hili. Moja, Hakuna Taasisi hiyo duniani; ila ipo Network inayohusu mambo hayo. Pili, lugha iliyotumika katika barua hiyo haiakisi maudhui yaliyomo; ni lugha ya kijana wa Form Three anayeshiriki debate tuu na sio vinginevyo. Tatu, Maudhui...
Kilichonisikitisha zaidi ni kwamba, Dr. Abbas si mtaalamu wa kusuluhisha migogoro. Kwa kifupi hajui, na badala yake ametumia nguvu zaidi ya busara. Haiwezekani unamwambia mhanga kuwa "sisi tunataka msameheane" au "Hapa uko Mubashara na kinachotakiwa ni kuombana msamaha tuu" bila ya kuchimbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.