Recent content by Changassy

  1. C

    HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

    tena wewe na wenzako pigeni magoti chini, tafakarini, ikibidi rdudieni mitihani upyaaaa, hapo ndipo utaweza kuongea kwa majigambo lakini kwa usaniii huuuuu, fumba mdomo na endelea na uchakachuaji huo, tunaomba Mungu usisomee fani muhimu kwani unaweza kuleta madhara badala ya kufanya upasuaji wa...
  2. C

    HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

    Bora ungenyamaza ndugu yangu, je wewe unahisi kuwa umefaulu kwa haki na kwa juhudi zako binafsi? matokeo yako halisi ni yale ya kwanza haya maengine ni msaada wa viini macho tu, hivyo wewe ni kilaza na usithubhutu kusema wengine wamefeli hususani wale waliokua wanasoma sana. Unabahati Taifa...
  3. C

    Matokeo ya kidato cha sita na cha nne yanatoka lini?

    Ndugu yangu, usiumeize kichwa chako wakati majibu yalishatolewa na Mwl. Nyerere juu ya Serikali regerege. Hakuna uwajibikaji hivyo kila mtu anafanya mabo yake kadri anavyotaka. Amani ya Tanzania tunaichezea ila ipo siku itatigharimu sana. Tipige moyo konde
Back
Top Bottom