Recent content by Changamotto

  1. Changamotto

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
  2. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Kwa usiyekuwa na dini sio dhambi
  3. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Wewe wa kwanza kwa ushuhuda huu
  4. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Ruksa kuufanyia marekebisho
  5. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Inakuwa vipi kwa kitimba ambaye yeye wakubwa zake hawakufanya makosa halafu yeye peke yake ndiye kapoteza mwelekeo?
  6. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Kwahiyo kitinda mimba anapokuwa na tabia tofauti na wakubwa zake watano anakuwa amelelewa mazingira na malezi tofauti?
  7. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Kama wote wakorofi mmebahatika sana
  8. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Nataka kujua kwanini mtoto wa mwisho anakuwa tofauti na wakubwa zake? Ni kwamba katika familia mtoto wa mwisho akiwa hamnazo basi ujue wakubwa zake vichwa sana,na ikitokea mtoto wa mwisho akawa kichwa sana basi wakubwa zake watakuwa vichwa maji,sio kwamba kila kitinda mimba amebarikiwa
  10. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Tukisema wamependelewa tutakuwa tumekosea,kwasababu wapo wa aina mbili wapumbavu sana na vichwa sana,sijui tusemeje?
  11. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Unafikiri ni kwanini upo tofauti?
  12. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Hawa ndugu zetu sijui wakoje,akiwa wa hovyo anakuwa wa hovyo isivyo kawaida na akiwa kichwa anakuwa kichwa kweli,yaani wanakuwa tofauti sana mpaka mnaweza kuhisi hamkuzaliwa baba mmoja mama alichepuka.
  13. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Kwanini umlee malezi tofauti kitinda mimba peke yake?
  14. Changamotto

    Kuna siri gani kwa wazaliwa wa mwisho(vitinda mimba)

    Ushuhuda mwingine huu hapa,wewe umekuwa kitinda mimba mwenye bahati wapo wenzako wanakuwa kero kwenye familia
Back
Top Bottom