Recent content by Chancellor Van John

  1. C

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka Mpanda Mjini kwenda Kijiji cha Itenka imeharibika vibaya sana

    Habari, Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu barabara ya kutoka Mpanda Mjini kwenda Kijiji cha Itenka katika Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi. Barabara hii imeharibika sana na haijafanyiwa matengenezo kwa muda mrefu. Imejaa mashimo makubwa, na katika baadhi ya maeneo badala ya kuzibwa...
Back
Top Bottom