wananchi tumekuwa nguruwe wanasiasa wamekuwa wachungaji nasikitika hivi kwa nini nilizaliwa tanzania ni bora hata ningekuwa kwa kagame maana hata udikteta wake ktk maendeleo unaonekana tofauti na huku imekuwa kama shamba la bibi
nadhani kole sembeka na magamba wamejifunza kitu hujuma na michezo michafu ni mapito ya dunia tuwatendee haki watanzania walio wengi masikini vx na majumba ya kifahani ni vya mpito ndugu zangu badilikeni tujifunze aliyotenda mandela R.I.P RC wa tarime
kama ole sendeka kawa mwenyekiti, ssm wanashikilia kamati 12 ni wazi kura ya wazi na kuondolewa vipengele vyenye maslai ya taifa havikwepeki ila nasikitika kodi yangu toka kwenye tume mpaka bunge lakatiba linavyotutafuna na deficity money ila Mungu atawalaani wote kwa kutugeuza watanzania...
Nichukue fursa hii kueleza yangu moyoni, Watanzania kweli tulikuwa tunahitaji katiba bora na si bora katiba kilichopendekezwa kwa jaji warioba na wananchi ni maoni yatokanayo na deficiency ya katiba ya zamani kuendelea kuvuraga mapendekezo ni njia mojawapo ya kuchakachua maoni ya wananchi. hoja...
hivi kwa nini kila tume ipendekeze serikali 3, maoni ya hutuba ya mzee tuyaamini kuliko tuliyoyakusanya kwenye tume nasikitika sana nimepoteza muda wangu kutoa maoni yangu mbele ya tume nilishindwa hata kutekeleza majukumu yangu ya utumishi kweli wanasiasa hawaaminiki nilijua tu ukiona csm...
mi nilijua tu hii katiba itachakachuliwa ila naumia sana pesa tulizopoteza kwa tume ya walioba kweli nimeamini hii nchi kamwe haiwezi kuletwa maendeleo na SSM naona hata kipengele cha ubunge mzee ametaka kisiwe na ukomo eti kama mtu ana miaka 25 plus 15 ya madarakani haimtoshi na pia wamekataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.