Recent content by chamaki nchanga

  1. C

    Nahitaji Mchumba

    Mm ni me.ni miaka 2 imepita tangu niachwe na aliyekuwa mke wangu .sasa nahitaji mke .elimu yangu ni FTC in electrical.mwajiriwa .miaka 42.naishi Dar dini mkristu.ninayemtaka.dini yeyote umri max 36.elimu angalau Fm4
  2. C

    Sina Hamu na Mademu wa mtandaoni

    Habarini wana MMU,hii ni mikasa iliyonipata katika harakati zangu za umalaya wa kutafuta wanawake wa kwenye mitandao,mm ni mdau mkubwa wa JF ila nimekuja kivingine kuficha aibu zangu cos kuna watu wananifahamu kutokana na shughuli zangu.MADA KUU.Demu 1.huyu nilimpata hapa JF wakati huo nikiwa...
Back
Top Bottom