Recent content by Chale david

  1. Chale david

    Naomba kujuzwa kuhusu kubadili kozi ngazi ya cheti nmesoma human resources alafu diploma nataka kusoma bussness administration naweza badilisha?

    Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
  2. Chale david

    Ni ipi kozi yenye ajira kati ya Business Administration na Accountancy?

    Naombe msaada kujuzwa kozi nzuri kati ya Bussness Administration na Accountancy ipi yenye ajira zaidi?
  3. Chale david

    Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Jaman nina rafiki yangu yeye alikuwa anasoma pre form 5 ya Kozi HGE ila yeye kapangiwa chuo cha TIA kozi ya bussness administration je aende iyo kozi aliyopangiwa inasoko au aende advance ya private msaada tafadhali wakuu
  4. Chale david

    Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Jaman nina rafiki yangu yeye alikiwa amendable tuition ya pre form 5 course ya HGE lakn serikali imempangia chuo kozi ya business administration je aende chuo au aende advance umri miaka 19 naomben maoni
  5. Chale david

    Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Form four nina 1.14 broo kivp advance nisitoboe ni ivyo ndo sijapenda kwenda
  6. Chale david

    Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Asanten kwa ushauri wenu mim nmeamua kwenda chuo kati ya kozi izi 2 bussness administration au accountancy nmechaguliwa na TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY company ya dar labda naomba uxhaur niende accountancy au bussness administration ipi ni the best hp
  7. Chale david

    Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kozi gan bora kati bussness administration na accountancy na human resource
Back
Top Bottom