Recent content by chakubimbi

  1. C

    JamiiForums Katibu Mkuu Kinana na Nape okoeni CCM Kibondo, Kwani rushwa na makundi yanaenda kukiua Chama

    CCM jimbo la Muhambwe inakwenda kupasuka vipande vipande endapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana atashindwa kukemea RUSHWA zinazotembezwa na watia Nia hawa, Eng. Nditiye, Anderson Njiginya, Tutuba, Moshi Majungu, Jamal Tamim, Kigaraba, Edgar Mkosamali, Kijiko. Hali imekua mbaya sana baada ya...
  2. C

    JamiiForums Hotuba ya Felix Mkosamali imejaa maswali kuliko mapendekezo ya nini kifanyike

    Huyo aage kabisa Bungeni maana harudi tena yeye wala Kaka yake Edgar
  3. C

    JamiiForums Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Mbona unakihelehele kama unaumwa Kipindupindu
  4. C

    JamiiForums Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Acha siasa zako za chuki wewe, kwa mwendo huo huwezi kuwa Mbunge wa Muhambwe wala Diwani wa Bitale
  5. C

    JamiiForums Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Haya majimbo yakibaki NCCR mwaka huu hiyo ni hkheri, lakini ccm wamejipanga kuyarudisha haya majimbo ya kasulu na kibondo kwa gharama zozote zile =
  6. C

    JamiiForums Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Sina sababu ya kuwachonganisha hawa vijana wawili, lakini naongea kitu ambacho kinaendelea Kibondo.....
  7. C

    JamiiForums Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Nick Kilunga mwenyewe amekuja na ameweka wazi azima yake hapa, na ukweli usio pingika Mkosamali ni mbinafsi sana na alizorotesha harakati za ukawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwani hakutaka kushirikiana na vyama vinavyounda ukawa. Sasa wale ambao wanadhani siasa ipo nyuma ya...
  8. C

    JamiiForums Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Ni kweli Mkosamali ni jembe lakini ni jembe lenye mapengo ambalo halina uwezo wa kulima tena kwani mlimaji atatumia nguvu nyingi kulima.
  9. C

    JamiiForums Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Sawa nimechukua jembe naenda shambani , ila tuonane October dada Tetty
  10. C

    JamiiForums Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Tatizo unaendeshwa na siasa za kwenye mitandao na bendera fuata upepo, October sio mbali utapata jibu kama Mkosamali anahitaji Mkologo wa kisiasa ama lah!
  11. C

    JamiiForums Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Hali ya kisiasa ilivyo katika jimbo la Muhambwe ni mbaya sana kwa upande wa Mkosamali, kwani Mkosamali tayari amepoteza mfuto kwa wapiga kura wake licha ya kuongea sana Bungeni na vijana wengi wa Ukawa hapa jukwaani kuonekana kumuunga mkono ila wasijue hali halisi ya siasa ilivyo Kibondo...
  12. C

    JamiiForums Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Hakuna cha maneno mengi, wenye maneno mengi ni wakina Chikola Sarundari na Kennedy Sarundari kama ingekuwa maneno ni mtaji wa kisiasa basi hawa watu wangekuwa wabunge muhambwe maana ni mafundi wa kuongea. Ukweli ni kwamba CCM kibondo wanamuhitaji huyu kijana ili aje kumchomoa Mkosamali saa 4...
  13. C

    JamiiForums Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Huyu NDITIYE nae eti anataka UBUNGE, Anashinda vijijini anagawa pesa kwa wananchi, ngoja vijana tumfungie kazi tumwekee mtego wa PCCB maana hana sifa ila anang'ang'ania harafu anajifanya ni Engineer wa Tanesco wakati hafanyi kazi. Mapigano For Muhambwe
  14. C

    JamiiForums Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Kijiko hana nafasi Muhambwe hata akatambikie mizimu, hatuwezi kumpa Ubunge Kijiko ambaye ni mlevi wa kupindukia hata huo ukuu wa mkoa amepewa tu ila hafai kuwa hata katibu KATA kwa tabia zake. Kwanza alisema hata yeye angekuwa kwenye nafasi pesa ya Escrow ikapita mbele yake angekula kwani ile...
  15. C

    JamiiForums Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Pigeni kelele tu ila ukweli ndo huo Mapigano ndio jibu Muhambwe.
Back
Top Bottom