Recent content by Chaks

  1. C

    JamiiForums Tanzania Dar: Halima Mdee, Bulaya, Jesca Kishoa, Meya Jacob,Henry Kilewo na wengine wafikishwa Mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za kufanya fujo gereza la Segerea

    Mungu yupo wanafikiri hawajaonekana waliyoyafanya, kuwapiga kuwadhalilisha na kuwaonea viongozi wa kitaifa, hao askari magereza wanastahili kifungo kwani ni wanyama kabisa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe CHADEMA

    wewe 'kenna' na Nyinyi lumumba mmeshindwa kabisa RIP miliele.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe CHADEMA

    Ninyi lumumba mnaotumwa hamuwezi chochote, mambo hayawahusu mnajaribu kuingilia ili kuchafua mtachafuka ninyi tuu hata mfanyaje hamuwezi kuyumbisha kitu, chadema is stronger than ever.
  4. C

    JamiiForums Tanzania ‪KISUTU, DAR: Mahakama yawapa dhamana Viongozi 6 wa CHADEMA bila kuwepo mahakamani. Kutoka gerezani Aprili 3, 2018...

    Wewe imhotep' ndio wale pumbaaaa kabisa ipo siku inakuja wewe utaenda jela
  5. C

    JamiiForums Tanzania ‪KISUTU, DAR: Mahakama yawapa dhamana Viongozi 6 wa CHADEMA bila kuwepo mahakamani. Kutoka gerezani Aprili 3, 2018...

    Wewe 'ahmed' na hao wanaokutuma ndio tatizo kubwa kabisa hapa nchini
  6. C

    JamiiForums Tanzania ‪KISUTU, DAR: Mahakama yawapa dhamana Viongozi 6 wa CHADEMA bila kuwepo mahakamani. Kutoka gerezani Aprili 3, 2018...

    Kweli mkuu mahakama zimekuwa zikifanya kazi kwa mashinikizo tu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Freeman Mbowe kwa Taifa: Adai kuna njama za kuwabambikia kesi za mauaji na uhaini

    Ninyi ndio walewale Lumumba mmeshindwa kwa hoja mnakimbilia kutaka kufanya ukatili mbaya kabisa upinzani kamwe hamtafanikiwa zaidi laana tuu juu yenu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    MUNGU AWABARIKI SAAAAAAAAAANA MAASKOFU KKKT semeni semeni kwani msema kweli daima ndiye mpenzi wa Mungu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Mkuu hao Lumumba wote wanajulikana hapa jf woooote Lumumba ni pumba kabisa wa karne hii.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Wewe 'Sumti' ndiye nguruweee mkubwa wewe ndiye utaozea jela wewe mshabiki mkubwa wa uonevu mkubwa wanaotendewa viongozi wa upinzani kinyume kabisa na katiba
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Wewe ndiye huyo nguruwee mkubwa Wewe ndiye nguruweee mkubwa wewe ndiye utaozea jela wewe mshabiki mkubwa wa uonevu mkubwa wanaotendewa viongozi wa upinzani kunyume kabisa na katiba
  12. C

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Freeman Mbowe kwa Taifa: Adai kuna njama za kuwabambikia kesi za mauaji na uhaini

    Wananchi woote wanaelewa wamechoka na ushetani wa ccm. Aluta continua
  13. C

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Freeman Mbowe kwa Taifa: Adai kuna njama za kuwabambikia kesi za mauaji na uhaini

    Safi Mkuu wape ukweli hao
Back
Top Bottom