Wana Jf nipo njia panda nahitaji ushauri wenu.
Mke wangu ni mtumishi wa umma,kurudi kwake nyumbani ni usiku kutokana na matatizo ya foleni hapa mjini.Binafsi mimi ni mjasiriamali.Binti wa kazi ameanza tabia za ajabu kila ninaporudi kula mchana.
Mara nyingi anaenda kuoga na kanga moja kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.