Recent content by chagga_daddy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Mkuu Asante ila huyu ndugu yangu hela yake ataipataje sasa Asante mkuu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Aliyemuuzia alisema ni used from UK kumbe box alifoji ila risit alitupa ya ofcn KWAKE ye ni dalali
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Noma mkuu mpka sasa wamekula laki 3 na yule mtuhumiwa mwingine 3 jumla 6
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Risit tulipewa mkuu na box lake ila BOKSI walifoji
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Duuh Asante mkuu kwa ushauri
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Yaan wanatumia vyeo vyao kutapeli kbisa mkuu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Aliyemuuzia wanae sa kwann bado WANATAKA alipe Hela za vitu vilivyopotea na ajajua atma ya Hela yake mkuu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Kuna rafiki yangu kanunua simu ya wizi police wamemkamata akawapeleka alipouziwa wakamkamata aliyemuuzia wakamuweka ndani awaoneshe aliyemuuzia simu. Kumbe aliyemuuzia uyo dalali simu yuko Mtwara Cha kushangaza police wamemwambia rafiki yangu achange HELA Tena laki 3 eti wakamkamate uyo aliopo...
Back
Top Bottom