Recent content by chadema kote

  1. C

    Freeman Mbowe awasili Mwanza tayari kuongoza kikao cha Baraza Kuu

    Kweli umeishiwa sera ndo umeamka Subiri kisu chenye makali kinolewe kwanza ndo utajua Chadema still alive indeed ,
  2. C

    Freeman Mbowe awasili Mwanza tayari kuongoza kikao cha Baraza Kuu

    Una uhakika ni ukoo wa panya au unatufananisha na hicho chama chenu cha wauza mchele na madafu,
  3. C

    Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

    Go on Jemedari Mbowe, naamini utatuletea jemedari kama wewe, wasio na uchu wa madaraka na wapenda vyeo, Viva Chadema, viva Mbowe
  4. C

    Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

    Na wala hataweza kutuangusha kamwe, tunamuombea kwa Mungu azidi kuwa na hekima.
  5. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Mkuu usiwape cheo hawa si maccm ni mafisisiem
  6. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Usiwape cheo sana hawa sio maccm ni mafisisiem
  7. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Una lolote wewe matisho mpelekee yule vakasi mwenzio mwenye kufanya nchi hii yake kwa kuuza mchele na sembe, mfyuuuuuuu
  8. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Kweli mkuu tuna kiu kubwa ya kumsikiliza Jemedari Mbowe,
  9. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Matron tuliza nyongo subiri batron aongee saa tano ndipo utajua wapi upele unakuwasha ujikune ha ha ha ha haaa sindano ya ganzi inaingia eee, Chadema kama kawa kama dawaaaaaaaaa
  10. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Matron wa wana lumumba umeamka, umemaliza kuwachambisha buku saba wenzio, subiri saa tano ifike kishipa kisimame vizuri pale jemedari atakapoanza kuongea, Chadema vyemaaaaaaaaaaaaaa
  11. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Again the way you write unaonyesha jinsi akili yako ina upeo wa darasa la pili B, matusi ya nn kamanda, hapo badoo mjeshi wa Anga hajaanza kuongea tuliza mshono wa jipu subiri saa tano ifike wewee
  12. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Hakuna kama mbowe mtu mwenye, hekma zake, maarifa na ufahamu aliojaliwa na Mwenyezi Mungu go go go kamanda wa Anga mpasuaji mioyo ya mafisiem
  13. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    The way your write unaonyesha ni jinsi gani umeishia darasa la tatu C
  14. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Lumumba mnatokwa na povu kisa mmeskia mwenye hekma zake na busara anataka kuzungumza na taifa juu ya uchafu wa mafisiem kwa umeya, subirini aongee muone nchi ikitikisika, kaendeleeni kunywa chai na mlenda ili mje mpayuke vizuri
  15. C

    Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    We ulitaka azungumze kama nanii, kinana au msorombo wenu huyooo aliyezoeleka
Back
Top Bottom