Recent content by cha ukweli

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    shukurani
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    hahahaha tangana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    shukurani
  4. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Habari zenu wadau nimechaguliwa ualimu lakini sina leaving certficate je watanikubali?:
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kuaply ualimu na kozi za afya

    kwa pamoja
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kuaply ualimu na kozi za afya

    kama nilivyo eleza hapo awali mchango wenu ni muhimu! kinacho hitajika ni ushauri tu kama kuna uwezekano wakuaply ualimu zen uka aply kozi za afya! santeni
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nime apply ualimu lakini sijaona pa kuandika vyuo

    Nime apply ualimu lakini sijaona pakuchagua vyuo,,, naomba mniambia kama nimekamilisha ama bado ?
  8. C

    JamiiForums Tanzania nime apply vyuo lakn sijao ona pa kuandika vyuo

    nimeapply ualimu lakini sijaona pakuandika vyuo na nimeshndwa kuangalia majina sijui kama ndo nimekamilisha usajili naomba mnijulishe kama nipo sawa
  9. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kuhusu Ajira za Walimu

    ilishatoka awamu ya kwanza
  10. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kuhusu Ajira za Walimu

    Habari zenu wakuu! kwa mwenye taarifa za kuhusu post za ualimu awamu ya pili zitatoka lini tunaomba atujuze
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya Tegeta Na Ocean Secondary

    Habari zenu wakuu wa jf natumaini muwazima wa afya,,, Ombi langu kwenu ni kwa anayefahamu mawasiliano ya shule ya secondary ya Tegeta iliyopo dar es salaam na ile ya Ocean iliyopo mtwara au kama kunaanaye fahamu ada za hizo shule naomba anijuze,,, Ahsanteni
  12. C

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa ualimu awamu ya pili 2015

    Habari za kwenu wadau! Naomba kuuliza kama NACTE wameshatoa majina ya walioomba mafunzo ya ualimu awamu ya pili,," maana nacte baada ya kuongeza muda wa kutuma maombi walisema watayatoa mwanzoni mwa mwezi wa tatu lakini mpaka sasa kimya. Kwa anayefahamu atujuze tafadhali Ahsanteni!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Shule ipi ya A-level yenye ada nafuu?

    hahahahahaha! kwann mkuu!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Shule ipi ya A-level yenye ada nafuu?

    thnks wote!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Shule ipi ya A-level yenye ada nafuu?

    thnks wote mliochangia
Back
Top Bottom