Recent content by ceo soso

  1. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushauri: Jamii ipewe elimu sahihi juu ya matumizi na athari za viuatilifu katika afya zetu

    Viuatilifu ni kemikali za asili au za kisasa zinazotumiwa na wakulima ili kupambana zidi ya wadudu waharibifu na magonjwa mbali mbali yanaoshambulia mazao yao yawapo shambani au yakiwa ghalani. Imezoeleka wakulima wengi hutumia mbolea za viwandani ili kuipatia mimea virutubisho muhimu kwa ajili...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa masuala ya kilimo

    Hello, Kwa majina naitwa SOSOMA JAMES Ni mtaalamu katika masuala ya kilimo niliyehitimu SUA. Nina miaka 24 na niko na shida ya usikivu kwa mbali. Ninatafuta kazi katika masuala ya kilimo hasa uchunguzi na uzalishaji wa mazao mbalimbali mashambani. Asanteni unaweza nicheki PM.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Unatibuje huo ugonjwa? Kama unaweza nitext 0673739405
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Kakabroh nicheki tsup 0673739405 Nina shida kama yako
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Broth Nina tatizo hiloo kama hutojali nicheki tsup 0673739405 tuyaje ge
Back
Top Bottom