Recent content by CentDeveloper

  1. CentDeveloper

    Travelling Passport

    usemalo ni kweli sasa kama ukikosa siunanona tayari umeingia gharama. sema hiyo ya kenya iko poa.
  2. CentDeveloper

    Travelling Passport

    kaka msadie maana nimeahindwa nifanyaje. kuna afya uhamiaji ninazo namba zake lakini nikituma sms anajibu kwa kifupi hafunguki sasa sijui shida nini. hizi agency nazo zinazodeal na haya mambo pia hata sms hawajbu sasa sijui wanaona watakurahisishia sana badala ukawape pesa wao wakfanyie sielewi
  3. CentDeveloper

    Travelling Passport

    hivi vingi ku upload inawezekana ila hapo kwenye passport sasa kaka ndio mtihani na deadline ni tarh 15 January. siunaona ugumu unapikuwa
  4. CentDeveloper

    Travelling Passport

    kaka mimi 70% ya scholarships, sponsorship hata kuapply vyuo vya kwaida nchini za njee wanahitaji passport naweza nikakutumia mfano nili screen shoot kabisa maana nilitaka niende moja kwa moja office zao nione napata maelekezo gani kuhusu hii swali na hichi kikwazo wanafunzi wengini...
  5. CentDeveloper

    Travelling Passport

    Habar. Nina swali kuhusu passport ya kisafiria. Niko katika harakati za kuomba scholarships tofauti tofatu. Lakini nimekutana na changamoto ya Kujaza namba ya passport na nakala yake na ni lazima kabla hujasubmiti ombi. Nikaona ni vyema nirudi katika utafutaji wa passport. nimeingia katika...
Back
Top Bottom