Recent content by Celsus

  1. Celsus

    Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

    Ule uwanja wa ndege ulioko Serengeti umejengwa na wanmasai? Hayo madini mnayotaka kuchimba Serengeti, yatachimbwa na wamasai? Tangu wamasai wameishi kwenye hifadhi, tutajie miji iliyokua pale. Mengine muwe mnaona aibu tu hata kuandika uozo kama huu. Hivi ukiwa CCM akili zinakuwa na funza?
  2. Celsus

    PreGE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Kwa akili yako ndogo, unafikiria Mbeya imejaa wachagga? Au vijana waliokuwa wanakikusanyika ni wachagaa? Kwa taarifa yako, wachagga wamepiga hatua kubwa kimaendeleao. Na wamefanya mambo makubwa nchi hii. Wakiongoza nchi, tutapiga hatua kuliko hii misukule ya CCM ambayo imejaa chuki, mijizi...
  3. Celsus

    Maajabu ya Dunia: Watanzania kushangilia spidi ya kupelekwa kwenye umaskini

    Neema ya vitu vingi tu. Tulikuwa na neema ya elimu yenya maana kuliko takataka ya leo. Pamoja na shule kuwa chache, elimu ilikuwa na maana. Nchi iliweza kuuza nje mali ghafi kwa wingi: Kahawa, mkonge, chai, na mazao mengine na hivyo deni la taifa lilikuwa dogo. Viongozi walikuwa wana miiko na...
  4. Celsus

    Maajabu ya Dunia: Watanzania kushangilia spidi ya kupelekwa kwenye umaskini

    Nadhani wewe unaumwa kichwani. Nafikiria maradhi yako ni makubwa kabisa. Huwezi kuchukua ka point kadogo kamoja kupinga kilichoaandikwa! Sisi wengine tumekua enzi hizo anazosema mwandishi! Tanzania ilikuwa ni nchi ya neema sana. Kipindi cha vita tu kati ya Tanzania na Uganda ndipo tulipata...
  5. Celsus

    Maajabu ya Dunia: Watanzania kushangilia spidi ya kupelekwa kwenye umaskini

    Muzee toa solution nini kifanyike ili umma uamke!
  6. Celsus

    Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

    Hukuwa na wito muzehe!
  7. Celsus

    Mageuzi anayofanya Rais Samia Suluhu kwenye kilimo hayakuwahi kutokea

    Hizo sera ni zipi mpaka tuunge mkono? Mie naishi kijijini ambako maisha yetu yanategemea kilimo. Kilimi cheti hapa kiko vile vile zaidi ya miaka 20 iliyopita. Hizo sera ambazo haziwafikii watu kama sisi vijijini ili kukifanya kilimo kiwe na tija zinaishia mjini?
  8. Celsus

    CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Kimsingi wewe ni mwenyekiti wa wajinga. Tanzania iko nyuma kwa sababu wanaajiri vyeti. Andiko lako halina akili kwa sababu ya kukariri mambo. Mwaka 1974, mimi nimeanza shule nikiwa na miaka 6, ulichoandika ni kukariri kijinga. CV ya mtu ni maisha yake, wewe na Uingereza imemtumia mtaalam huyo...
  9. Celsus

    Mwenge wa Uhuru na Wasanii

    Mwezi uliopita nilishuhudia Mwenge unakimbizwa katika mkoa wa Kigoma. Ajabu niliyoiona ni mwenge kutembea na wasanii wa Bongo! Zamani mwenge ulijitangaza wenyewe kwa kiwa ulionekana wenye maana kwa kile ulichokisimamia. Leo wanaokwenda kwenye mwenge ni watoto wa shule za msingi! Ili kuwe na...
  10. Celsus

    Namsikiliza Rais ufunguzi wa baraza la vyama vya siasa, Rais Samia hayuko huru kabisa, kuna kundi linamburuza ndani ya CCM

    Hiyo modern Tanzania ndiyo kitu gani? Aaaaaah nimekumbuka TAL anasema kila kitu Chama Twawala hawezi wanataka kusaidiwa na watu toka Persia! Ndiyo modern TZ!![emoji2301][emoji2301][emoji2301][emoji2301]
  11. Celsus

    Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

    Saikolojia ya kawaida inafundisha kuwa vile unavyomfikira mtu alivyo, unajionesha mwenyewe jinsi ulivyo! Na hiyo ni inferiority ya hali ya juu. Kubali kuwa kuna universal good!
  12. Celsus

    Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

    Wewe unazijua hizo code walizokubakiana? Wameanza kubaka code of conduct? Zilete humu utuoneshe zilizovunjwa!
  13. Celsus

    Ni janga na aibu kwa taifa kuwa na vijana aina ya Mdude Nyagali

    Kenge mkubwa wewe! Kuwa na vijana kama wewe, walamba viatu ndiyo taifa kukosa mwelekeo! Unadhani wewe una mpangilio wa maneno? Jichunguze, kunguni-chawa!
  14. Celsus

    Mhashamu Almachius Rweyongeza apigilia msumari zaidi kwenye waraka wa TEC

    Kumbe nchi hii ina mabwege sana. Wewe ni bwege tena mwenye akili taahira. Kuwa muhutu au mnyamwezi au wewe ambaye umetukuka kuna uhusiano gani na kusema ukweli? Jitafakari maana u mgonjwa wa akili. Wewe kama siyo muhutu, una kitu gani zaidi ya muhutu? Bwege mpumbavu kabisa.
  15. Celsus

    Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Baba umevuta ya Meru au Musoma? Kwani uislamu hauko Tanzania? Upo Tanzania muda mrefu zaidi ya ukristu. Nani anawazuia kufanya miradi kama wafanyayo wenzao? Pamoja na pesa alizonazo, nani anamzuia mwarabu kujenga shule za maana na mahospitali na vyuo vikuu?
Back
Top Bottom