Recent content by celem

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari

    Salama ! Nipo sehemu za Kigali, Rwanda.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari

    Natafuta kazi ya kufundisha Kifaransa kwa shule za msingi na za sekondari. Naishi mjini Kigali, Rwanda na ni mwalimu. Nilisoma lugha katika shule za sekondari (Kiswahili,Kifaransa, Kingereza na Kinyarwanda) , na nikasoma Kiswahili, Kingeleza na Elimu katika chuo kikuu. Asante.
Back
Top Bottom