Recent content by ccm mtoto

  1. C

    Lindi, Mtwara na Ruvuma mtaendelea kuwa masikini mpaka Yesu atakaporudi

    umeongea mambo ya maana na muhimu kwa watu wa kusini . Lakini angalia wajinga wanavyokujibu kama hawana akili. Wengi wetu huku ni wajinga tusiojielewa au tunafanya makusudi. Mikoa hii ni kweli imesahauliwa kwa makusudi kabisa . Tukifumbuliwa macho tunatukana ka machizi endelea kutufumbua macho
  2. C

    Mama Maria Nyerere avunja Ukimya, aungana na Vijana wazalendo kulaani kutukanwa Mwalimu

    Jamani hivi bado mnafikiri tupo kwenye ile miaka ya zidumu fikra sahihi za mwenyekiti? No tushatoka huko tuko kwenye ukweli na uwazi sasa . Kila baya litasemwa Nyerere ndo chanzo cha matatizo ya nchi hii kuanzia viongozi aliyowaweka na sera zake. Kama kweli angekuwa kiongozi mzuri watu...
  3. C

    Miaka 9 ya rais J.M,Kikwete, hongera sana, tumevuna tulichopanda.

    Katusaidia kumpeleka mwanaye bungeni na mkewe yuko njiani hahahahaaaaaaaa
  4. C

    Tundu Lissu ni Mhaini namba moja - Mbunge toka Zanzibar!

    Zaidi ya unavyoijua wewe. Usie na haya . Watu wanataka kuwapa chenu nyie hamtaki ndoi maana wakenya wanatuita mawe ndo kama hivi
  5. C

    Tundu Lissu ni Mhaini namba moja - Mbunge toka Zanzibar!

    Ili Tanganyika iwepo mama we vipi?
  6. C

    TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

    Hivi watanzania tukinyunyuziwa dawa, maleria ikatokomezwa mmnataka hizi dawa tukamuuzie nani? Hakuna mtu serikalini atakae fanya hili jambo ni hasara tutawafukuza wawekezaji jamani. Mkifa sie ndio tunapata kula .
  7. C

    Wenzetu wanatuacha katika hili la reli!

    Haiwezekani . Na wala hatuhitaji reli hivi mkuu atafanyabiashara ya malori saa ngapi nyie waTanzania vipi?
  8. C

    kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

    Halafu hakuna kitu kichwani. Hahahaaaaaaaa msomi
  9. C

    Kapteni Komba asema Warioba si mwanachama halali wa CCM!

    Mzee wa kucopy na kupaste hahahahaaaaaaaa
  10. C

    Mbowe: CCM ni Mbugi

    we msengerema unajenga hoja gani mama wewe. Hivi hamuoni mateso tuyapatayo watanganyika wenzenu apa kwa MUNGU kama kweli huyaoni
  11. C

    Kwanini mikoa ya pwani wanaipenda sana CCM licha ya matatizo makubwa waliyo nayo miaka yote?

    Nna uhakika wengi wenu mna chuki na wachaga. Hakuna sehemu mtoa mada alipotaja mchaga akiwa na maana Kilimanjaro na Arusha inakaliwa na kila kabila. Sasa badala ya kumjibu adui wa mikoa ya Pwani mnaanza kumshambulie yeye kama mbaguzi jibuni hoja sio vihoja Ccm ndio chanzo cha matatizo ya watu wa...
  12. C

    Japan: Dar could become an Industrial Hub

    Hata wakijenga kwa akili zetu mbovu wataleta wataalamu wao na wafanyakazu wao hadi wa kufagia. Wakitukabidhi sisi tutaviua . Kwame hatutafaidika navyo . Kodi tutawasamehe miaka mitano waleee kwao
  13. C

    Nimeamini kuishabikia ccm kunahtaji uwe na moyo wa jiwe

    .....mako akili huna uliyonayo iko likizo. Watu wanajadili jambo ambalo na wewe utafaidika unaleta ushe.... Wako nenda kaf....
  14. C

    Hivi ziara hizi za Kinana zina tija?

    Kinana aka tembo mbali nae
Back
Top Bottom