Recent content by CASTORY 0658440681

  1. C

    JamiiForums Msaada: Kila ninayempenda sidumu nae

    Jamaangu asante kwa ushauri mzuri asante mungu akubarksana na ulchoksema kuhusu kujpa mda ntafanya hvyo hata hvyo
  2. C

    JamiiForums Msaada: Kila ninayempenda sidumu nae

    Jamani mimi ninamkosi gani nitakayempenda anakuwa muongo mlaghai, yaani mpaka nimekata tamaa yakuja kuoa nina miaka 26. Msaada wenzangu eti nifanyaje ili niweze kumpata aliye sahihi maana wananidangaya sana. Ushauri tafadhali
Back
Top Bottom