Recent content by casperdanielle

  1. casperdanielle

    Dstv wanapaswa kutujali wateja wao. Nmelipa king’amuzi mwezi sasa unaisha lakini kila nikiwasha niangalie naambiwa bad weather

    Dstv wanapaswa kutujali wateja wao. Nmelipa king’amuzi mwezi sasa unaisha lakini kila nikiwasha niangalie naambiwa bad weather na jua hili kali la dodoma bad weather inatoka wapi mwezi mzima? Nimeleta mpaka fundi ananiambia hakuna tatizo channel moja tu ya supersport blitz ndo inaonesha swala...
Back
Top Bottom