Naelewa lakin uwepo na kasoro Egypt ama nchi nyingine isiwe sababu ya kufumbia macho yanayojiri nchini kwetu. Na mara nyingi kinachoturudisha nyuma watanzania ni mentality ya mazoea kuwa “mbona nchi flani wanafanya” then tunaridhika, kitu ambacho si sawa, we need the best services.
Waajiriwa wengi wa JNIA Airport wanakosa professionalism. Kuna taabia ya wafanyakazi wa Airport kuomba pesa kutoka kwa wasafiri ambayo siyo nzuri na haileti picha nzuri kwa wageni.
Kijana (muajiriwa) anaweza kukuonesha mahali huduma za kijamii kama choo au taxi zilipo (ambalo ni jukumu lake) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.