hi,,there is the new house located at mbezi beach near B.O.T flat area...if you are interested to live is available as u request.....ni Pm for more information and about rent is affordable and is within your mentioned rates..thnks m waiting for your response soon
Tafadhali ndugu zangu and please sijapost hiyo post kwa any bad intetion i post the reality and the real situation i am facing basing on my financial problem so please whoever trying to give out opinions or comment let it be basing on logical facts and researched please coz its seems some people...
Okey thts good opinion of yours but pia pole kwa huyo mtu aliyekufanyia hivyo but hope haukuweka all the things legally and officially nadhan hamkuandikishana na hakukuwa na gurantor hapo wala mwanasheria thts why....upande wa pili hop i told you benk karibu nyingi nilizokwenda hawakopeshi kwa...
Hi habari zenu wana JF.
Nina shida very imediately ya Milion 13 pesa itarudishwa ndani ya mda mfupi pamoja na riba kama itahitajika ni very urgently situation..i have tried to go to some financial institutions but wanahitaji uwe na biashara na some bank statements za biashara.. Wakati kwa upande...
Habari wana JF..ninapangisha nyumba yenye vyumba viwili masterbedroomz vyote,sitting room na jiko plus baraza kubwa nje..nyumba ni mpya inajitegemea kwa kila kitu iko ndani ya fence..dakika tano kutoka barabara kuu...kodi kwa mwezi ni laki tano...ukilipa kodi ya miaka miwili na nusu utapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.