Recent content by Carbon 4real

  1. Carbon 4real

    MFAHAM DIRECTOR WA MUVI YA THE TITANIC NA AVATAR

    Anaitwa James Cameron kazaliwa Agosti 16,1954(70) nchini Canada sehem iitwayo Ontario. Kwenye sanaa ambayo alianza kuifanya mwaka 1978 yeye ni mhariri, mwandishi na muongozaji wa filam na tamthlia na mpaka sasa amefanikiwa kuongoza filam nyingi maarufu zinazoendelea kushika kilele ata sasa...
  2. Carbon 4real

    Anashikilia rekodi ya kuwa muigizaji asiyependwa kwenye ulimwengu wa filam...

    Alionekana kidogo tu kwenye series ya Sex Education mwaka jana mashabiki wa Game Of Thrones wakavamia ile series ili kumchek tu mwamba.
  3. Carbon 4real

    Kwenye series ya Power Ghost hakupaswa afe shida maokoto

    Pengo la Ghost ni kubwa san
  4. Carbon 4real

    Anashikilia rekodi ya kuwa muigizaji asiyependwa kwenye ulimwengu wa filam...

    Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili alilithibitisha kwenye series ya Game Of Thrones baada kucheza scene ya kuuwa familia yake pamoja...
  5. Carbon 4real

    Kwenye series ya Power Ghost hakupaswa afe shida maokoto

    50 ndo alimsnitch kwenye management
  6. Carbon 4real

    Kwenye series ya Power Ghost hakupaswa afe shida maokoto

    Kama ni mfuatiliaji wa series za mablack america basi lazima utakuwa unaifaham series ya power ambayo ilifanya vizuri sana kwenye soko la filam kutokana na stori yake ilivyo na uhusika wa waigizaji kwenye ile series. Kifo cha bwana Ghost kama mhusika mkuu kiliacha majonzi sana kwa watazamaji na...
  7. Carbon 4real

    Hii ndo series bora ya muda wote

    Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake. Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia...
  8. Carbon 4real

    Mfahamu director aliyeandaa muvi kali za Action Duniani

    Anaitwa Guy Ritchie amezaliwa Uingereza septemba 10 1968 kazi yake ni mwandishi na muongozaji wa filam ameandaa muvi nyingi kali kama Operation Fortune, The Gentleman ilishinda tuzo ya muvi bora ya action mwaka 2020 , Wrath of Man na nyingine kibao ata ile love story ya Aladdin ilishinda tuzo ya...
Back
Top Bottom