Mm niliwahi kuwaambia watu hii sera ya ushoga inapitishwa taratibu mpk baadae itakua ni jambo la kawaida. Fikiria kwenue hiyo tamthilia kuna jamaa mmoja anashinda saluni ya wanawake yy anaongea kama mwanamke na matendo yake pia. Pata picha mwanao ndo anaangalia na kumuona yy atajua mwanaume kua...
Bunge letu bado ni dhaifu katika maamuzi
Leo naomba nizungumzie bunge hasa nikizungumzia kazi zinazohusu bunge na wajibu wa muhimili huu mkuu wa nchi katika ile mihimili mitatu mikuu nchini. Katika nchi zenye demokrasia kama zetu bunge ndio chombo kinachofanya maamuzi ya mwisho yote hiyo ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.