Recent content by Cappadonna

  1. Cappadonna

    JamiiForums Msaada wenu jamani, sikio linanisumbua

    Asante sana ndg yng kwa ushauri wako
  2. Cappadonna

    JamiiForums Msaada wenu jamani, sikio linanisumbua

    Ndugu zangu habari za Saa hizi, naomba msaada wenu, sikio langu la kushoto lilianza kuwasha sana wiki nzima, sikulitilia mkazo kulishughulikia, sasa hivi hali imekuwa mbaya, naona linatoa maji fulani hivi mepesi lakini8 yana harufu kali sana mpaka najiskia vbaya kukaa pamoja na watu. Je, kuna...
  3. Cappadonna

    JamiiForums Huu ugonjwa siuelewi

    Ndg zangu habari za kazi,Mimi nina tatizo la kuhis naumvu wakat wa kukojoa,pia pale mkojo unapokuwa unaishia ishia mwishon naona matone ya damu,hili shida itakuwa ni nini,na matibabu yake yapoje? Naomba ushaur wenu
Back
Top Bottom