Recent content by CAPPACITOR

  1. C

    JamiiForums Tanzania iINAKUHUSU......HUU UTOFAUTI WA DARAJA C VYUO VIKUU TANZANIA UTATUGHALIMU MTAANI

    Kwa mujibu wa halimashauri ya ubongo wako.
  2. C

    JamiiForums Tanzania iINAKUHUSU......HUU UTOFAUTI WA DARAJA C VYUO VIKUU TANZANIA UTATUGHALIMU MTAANI

    KWAMUJIBU WA UDSM PROSPECTUS Assessment of the student's progress shall be based on the following grading system: A : 70 - 100 C : 40 - 49 B+ : 60 - 69 D : 35 - 39 B : 50 - 59 E : 0 - 34 GPA A=5 B=4 C=3 D=2 E=1 The above range of marks being a result of rounding of all decimals of the marks...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mkuu wa chuo sokoine na vyuo vyingine vyenye tabia hiyo...

    Tatizo ni mwenye roho ngumu ya kulianzisha hayupo.
  4. C

    JamiiForums Tanzania iINAKUHUSU......HUU UTOFAUTI WA DARAJA C VYUO VIKUU TANZANIA UTATUGHALIMU MTAANI

    Kwa SUA zimekaa hivi.. Grade Range of Equation Grade point Marks A: 70 – 100% Y = 0.02X + 3 (4.4 – 5.0) B+: 65 – 69.9% Y = 0.08X – 1.2 (4.0 – 4.39) B: 60 – 64.9% Y = 0.2X – 9 (3.0 – 3.99) C: 50 – 59.9% Y = 0.1X – 3 (2.0 – 2.99)...
  5. C

    JamiiForums Tanzania iINAKUHUSU......HUU UTOFAUTI WA DARAJA C VYUO VIKUU TANZANIA UTATUGHALIMU MTAANI

    Mmmmmh kuna C ya supplimentary icyo na * ?.
  6. C

    JamiiForums Tanzania iINAKUHUSU......HUU UTOFAUTI WA DARAJA C VYUO VIKUU TANZANIA UTATUGHALIMU MTAANI

    Habarii wana jamvi..Leo nimeona tujalibu kufunguana mawazo juu ya dalaja C vyuo vikuu Tz. Hili suala tunaliona dogo lakini linamghalimu mtu mmoja mjoja huko mtaani, Wakati tukipitapita na bahasha zetu huko maofisini hatutakuwa tukiulizwa kuwa umesoma chuo gani, shida itafika wakati wa kuangalia...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Live from Germany: UDSM yang'aa

    tunahitaji kuona lank yake kwa ubora wa elimu cyo web popularity.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Sua, heslb- iwr engineering

    imekaaje hii neema wadau wa sua- kwanzia walio mwaka wa kwanza hadi walio mwaka wa nne wanaochukua irrigation and water resources engineering kwa mwaka wa masomo 2013/2014heslb imewalipia ada 100%.
  9. C

    JamiiForums Tanzania SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    MUHAS cyo tatizo MUHAS ya sasa ni yamadesa hata usitutishe ukajua elimu yako inalingana na ya SUA
  10. C

    JamiiForums Tanzania SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    SUA ni kama mti wenye matunda milele hauogopi kupigwa mawe, nyie maneno ss kazi tu! mtajibeba tu mwisho wa siku huko kitaa.
  11. C

    JamiiForums Tanzania SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    C kweli coz katika shule yangu ya kijiji nilchotoka mimi Pekeyangu nipo SUA, 5-UDSM na 3 UDOM, cjajua hapo wapi kumecontain wakijini wengi labda unisaidie hilo, au mshaawapa umjini na hao ndugu zangu.....?
  12. C

    JamiiForums Tanzania SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    Cyo mbaya hata mi wangu yuko hapohapo UDSM tutakuwa tunapishana chalinze napokuja kwenu kina shemeji.
  13. C

    JamiiForums Tanzania SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    Design kama umepanic mzazi!!!!!, jinsi dishi lako linavyosoma unaona kuna kozi ya Mzumbe inayoweza ikawa na uzito kama ya sua? may be BAF inaweza ikalingana na Rural ya SUA, no research no right to speak.
Back
Top Bottom