Imezoeleka kuwa wanachuo wanaenda mazoezi ya kufundisha mwezi wa pili, lakini sasa hakuna taarifa yoyote hata wakuu wa vyuo hawajui,sijui ndo tuseme pesa zimeenda kwenye bunge la katiba au hazipo kabisa? na mitihani imekaribia muda hautoshi, wadau mna taarifa yoyote kuhusu BTP???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.