Recent content by Camo97

  1. Camo97

    Car4Sale Toyota raum

    Nashukuru umemwabia JF humu kuna wajuaji wengi mno
  2. Camo97

    Car4Sale Toyota raum

    Wewe ni mnunuaji au mchambuzi?
  3. Camo97

    Car4Sale Toyota raum

    Gari iko katika hali nzuri kama una uhitaji unaweza kuja kuiona boss
  4. Camo97

    Car4Sale Toyota raum

    Gari sio mbovu una uhakika gani ni mbovu kama sio mnunuaji uwege unapita tu sio kila kiti uchangie
  5. Camo97

    Car4Sale Toyota raum

    Toyota raum inauzwa million tisa iko katika hali nzuri ikiwa na vibali vyote haijawahi kugongwa na ni namba D
  6. Camo97

    Car4Sale Toyota starlet

    Kama uko serious na biashara njoo PM tuongee biashara
  7. Camo97

    Car4Sale Toyota starlet

    Hapana boss umeshuka sana gari bado nzima kama mpya
  8. Camo97

    Car4Sale Toyota starlet

    Toyota starlet inauzwa iko katika hali nzuri bei ni 5.5m ipo na documents zote
  9. Camo97

    House4Sale Nyumba inauzwa iko tabata segerea

    Nyumba inauzwa iko tabata segerea bei ni 75m
  10. Camo97

    Car4Sale Toyota brevis for sale

    Toyota brevis in good condition with full documents inauzwa 7.5million kwa mawasiliano njoo pm tufanye biashara
  11. Camo97

    Car4Sale Toyota brevis namba D inauzwa 8.5m

    Kwa serious business nitafute kwenye namba hyo kwenye thread tuongee biashara
  12. Camo97

    Car4Sale Toyota brevis namba D inauzwa 8.5m

    Ongeza boss umeshuka sana gari bado mpya
  13. Camo97

    Car4Sale Toyota brevis namba D inauzwa 8.5m

    Toyota brevis in good condition inauzwa 8.5m Haina tatizo lolote kwa mawasiliano zaidi 0766785325
Back
Top Bottom