Recent content by Camera Man

  1. C

    Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designe

    ila hili suala la kutukanana hadharani kama hivi bila hata sababu sio jambo zuri kwa kweli na linaweza kukuonesha kwa watu kwa picha mbaya
  2. C

    Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designe

    asante sana mkuu hata kuwa mpiga picha binafsi wa mtu nafanya 🙏
  3. C

    Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designe

    Mkuu hii ni sanaa kama ilivyo mpira, mziki nk huwa elimu sio kipaumbele kwenye kazi za video shooting na director ila nina elimu ya kidato cha nne mimi ni kijana wa kawaida tu miaka 24
  4. C

    Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designe

    asante sana mkuu sijaweka samples hapa kwasababu nazani kupost picha za watu hadharani kama hivi sio jambo zuri unaweza kunicheki WhatsApp kwa namba yangu hiyo
  5. C

    Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designe

    Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designer Lakini pia nanvyo vifaa vyangu mwenyewe tayari kwa kazi Nina camera, na vifaa vyengine vya kupiga picha na kushoot video na pia nina vifaa vya kuedit picha na video pamoja na graphic...
Back
Top Bottom